MOTO ULIVYOUNGUZA NYUMBA ZA POLISI : NYUMBA ZA JESHI LA POLISI MKOANI TANGA ZATEKETEA KWA MOTO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


18 Mar 2014

MOTO ULIVYOUNGUZA NYUMBA ZA POLISI : NYUMBA ZA JESHI LA POLISI MKOANI TANGA ZATEKETEA KWA MOTO


Jana mchana nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha chumbani jijini Tanga zaungua moto.



Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili katika eneo la ajali.
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto katika nyumba za polisi chumbageni,jijini Tanga.
Wananchi wakishuhudia na kusaidia vikosi vya zimamoto katika uzimaji moto huo.
Baadhi ya vitu vilivyookolewa katika ajali ya moto.

Picha kwa hisani ya Tanga kunani(TK)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad