CCM CHALINZE : RIDHIWANI KIKWETE KATIKA KAMPENI ZA LALA SALAMA KATIKA JIMBO LA CHALINZE - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


1 Apr 2014

CCM CHALINZE : RIDHIWANI KIKWETE KATIKA KAMPENI ZA LALA SALAMA KATIKA JIMBO LA CHALINZE

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini Mzee Hussein Mwindadi ambaye ni Baba wa Diwani wa Kata ya Mkange.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akitaniana na Mzee Nassor Samnamwanja wa Kijiji cha Mkange,Kata ya Mkange jana Machi 30,2014.
Wakazi wa Kijiji cha Manda Mazingara wakiwa wameshika mabango ya Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati walipokuwa wakimkaribisha Kijijini kwao.
Kikundi cha Kwaya ya Kijiji cha Manda Mazingara kikitoa Burudani.
wakisikiliza jambo kwa Makini.Picha na Othman Michuzi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad