KUMBU KUMBU ZA KARUME :RAIS JAKAYA, MAKAMU WAKE DKT. BILAL WASHIRIKI DUA MAALUM YA KUMBUKUMBU YA KARUME MJINI ZANZIBAR - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


8 Apr 2014

KUMBU KUMBU ZA KARUME :RAIS JAKAYA, MAKAMU WAKE DKT. BILAL WASHIRIKI DUA MAALUM YA KUMBUKUMBU YA KARUME MJINI ZANZIBAR


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kushoto, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu Mufti wa Zanzibar, wakiwa pamoja na wananchi wa Zanzibar katika Dua ya ya kukumbuka kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika Aprili 07, 2014 Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
 Wake wa Viongozi wakiwa katika Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika April 07-2014 Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
 Baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Zanzibar, wakijumuika pamoja kwenye Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kushoto), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein (wa tatu kutoka kushoto), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu Mufti wa Zanzibar, wakiwa pamoja na wananchi wa Zanzibar katika Dua ya ya kukumbuka kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika leo Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kushoto, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Viongozi mbalimbali nje ya Jengo la Ofisi ya CCM Kiswandui mara baada ya kumalizika Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Wake wa Viongozi waliohudhuria dua hiyo maalum. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad