UTAFITI NI MUHIMU :DKT. GHARIB BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA 28 NIMR NA KONGAMANO YA WANASAYANSI WATAFITI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


23 Apr 2014

UTAFITI NI MUHIMU :DKT. GHARIB BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA 28 NIMR NA KONGAMANO YA WANASAYANSI WATAFITI

 Mkurugenzi wa NIMR, Dk. Mwele Malecela akimsaidia Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali kufungua moja ya mikakati aliyoizindua.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionesha vitabu alivyozinfua vya Mpango wa Mkakati wa Nne wa Utafiti Bora wa Afya,
Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka kitaifa wa masuala ya afya, kwa Dk. Steven Magesa (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.
Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi Tuzo ya Mvumbuzi Bora wa Mwaka Kitaifa, Dk. William Kisinza (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.
 Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka wa Afrika wa masuala ya afya, kwa Prof. Wenceslaus Kilama (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.

 Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali (wapili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa tuzo za Mwanasayansi Bora wa mwaka kitaifa wa masuala ya afya, kwa Dk. Steven Magesa (kushoto) Mwanasayansi Bora wa mwaka wa Afrika wa masuala ya afya, Prof. Wenceslaus Kilama (wapili kushoto) na Tuzo ya Mvumbuzi Bora wa Mwaka Kitaifa, Dk. William Kisinza (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi watafiti ulioanza leo Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad