AFRIKA MASHARIKI: WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AHUDHURIA MKUTANO WA MAZIWA MAKUU JIJINI NAIROBI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Jul 2014

AFRIKA MASHARIKI: WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AHUDHURIA MKUTANO WA MAZIWA MAKUU JIJINI NAIROBI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini tamko la Mkutano Maalum wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) kuhusu mikakati ya kutatua tatizo la ajira kwa vijana kupitia Uendelezaji Miundombinu na uwekezaji, uliofanyika kwenye hoteli ya Kempinski jijini Nairobi Julai 24, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Batilda Burian na wapili kushoto ni Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad