FILAMU NA MAISHA: MSANII WA FILAMU ELIZABETH MICHAEL "LULU" AFUTURU NA WATOTO YATIMA SINZA, JIJINI DAR - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


18 Jul 2014

FILAMU NA MAISHA: MSANII WA FILAMU ELIZABETH MICHAEL "LULU" AFUTURU NA WATOTO YATIMA SINZA, JIJINI DAR


Msanii wa maigizo Elizabeth Diana Michael aka Lulu jana jioni aliwakumbuka watoto yatima wa kituo cha ''Chakuwama'' kilichopo Sinza Meeda na kujumuika nao kwenye #Futari iliyo andaliwa na msanii huyo.. Lulu aliambatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba, Dk. Cheni na watu mbali mbali... Mlezi mkuu wa kituo hicho Bi Saida Hassan amesema wamefarijika sana kuona Lulu amewakumbuka.
Watoto wakipakua futari 
Mama Kanumba nae alikuwepo 
 Dr Cheni akipata futari
 Lulu akiwa na mmoja wapo wa mtoto wa kituo hicho

 Lulu na mama Kanumba wakiteta jambo
 Lulu na mdogo wake Eric
 Lulu akikabidhi msaada

Mama mlezi wa watoto hao Bi. Saida Hassan akizungumza na Lulu. Picha na Bestizzo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad