MAPISHI, CHEF KILE :PISHI LA NDIZI NYAMA – STAILI YA MCHEMSHO – Hapa nimetumia ndizi mzuzu - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Jul 2014

MAPISHI, CHEF KILE :PISHI LA NDIZI NYAMA – STAILI YA MCHEMSHO – Hapa nimetumia ndizi mzuzu


PISHI LA NDIZI NYAMA - STAILI YA MCHEMSHO
MAHITAJI
  • Nyama robo
  • Ndizi mzuzu mbichi 5
  • Vitungu maji na swaumu
  • Giligilani vijani vichache
  • Rosemary vijani vichache
  • Bay vijani vichache
  • Chumvi
  • Olive oil kijiko cha mezani kimoja
  • Chills – kama watumia
  • Karoti moja
  • Black pepper
KUPIKA
Kwanza chemsha nyama – sasa wakati wachemsha nyama weka chumvi, bay, rosemary, garlic na blackpaper. Ichemke hadi kuiva ndipo uweke vitunguu maji na swaumu pamoja na ndizi kisha acha viive dakika kabla ya kuepua weka karoti.. #enjoy #kudimbadimba

Kwa maswali na majibu ya hapo kwa hapo ; piga simu +255 654 088 500

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad