MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014 : PATA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 NA UALIMU HAPA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


16 Jul 2014

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014 : PATA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 NA UALIMU HAPA

Waziri wa Elimu Dkt. Shukuru Kawambwa: Picha na Maktaba.

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 ( ACSEE 2014 ) YAMETOKALEO MTANDAONI

BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 KWA URAHISI KABISA


BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA UALIMU 2014 



TANGAZO



BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwezi, Mei 2015 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kilianza rasmi tarehe 1 Julai, 2014 hadi tarehe 30 Septemba, 2014 kwa ada ya Shilingi 50,000/=.   Aidha kuanzia tarehe 1 Oktoba, 2014 hadi tarehe 31 Oktoba, 2014 waombaji watajisajili kwa ada ya Shilingi 65,000/- (ada pamoja na faini).
Waombaji wote wanasisitizwa kuhakikisha wanajisajili mapema kwa njia ya  mtandao kupitia tovuti ya Baraza la Mitihani ya www.necta.go.tz. Kabla ya kujisajili kwenye mtandao, waombaji wanapaswa kwenda kwenye vituo vya mtihani kuchukua namba rejea (reference number) zinazotolewa bure na kulipa ada ya mtihani kwa njia ya Posta au M-pesa.

Imetolewa Na:
Kaimu Katibu Mtendaji
Baraza la Mitihani la Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad