MATUKIO, SABA SABA : DKT. JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA VIWANJA VYA MAONYESHO YA SABA SABA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


6 Jul 2014

MATUKIO, SABA SABA : DKT. JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA VIWANJA VYA MAONYESHO YA SABA SABA

3
Rais jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini Bi Hoyce Temu Mtaalamu wa Mawasliano wa Umoja wa Mataifa (UN)wakati alipotembelea banda hilo leo na kupata maelezo mbalimbali ya shughuli zinazofanywa na shirika hilo hapa nchini. 4
Rais jakaya Kikwete akizungumza na vijana waliofadhiliwa na Umoja wa Mataifa katika mafunzo ya ujasiriamali wa tatu kutoka kulia nji Bi Hoyce Temu Mtaalamu wa Mawasiliano wa umoja wa Mataifa (UN)
17 
Rais jakaya Kikwete akimsalimia mtoto ambaye jina lake halikufahamika mara moja wakati akitembelea katika mabanda mbalimbali kwenye viwanja vya Sabasaba.
 8
Rais Jakaya Kikwete akipiga picha na baadhi ya vijana kwenye banda lao la Forever Living 10
Rais Jakaya Kikwete akipiga picha na baadhi ya vijana kwenye banda lao la Forever Living

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad