MWANAMUZIKI WETU: DIAMOND PLATNUMZ BET RED CARPET AND BEHIND THE SCENE ! - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


2 Jul 2014

MWANAMUZIKI WETU: DIAMOND PLATNUMZ BET RED CARPET AND BEHIND THE SCENE !


Diamond Platnumz akipita kwenye Red Carpet ya BET mbele ya Mapaparazi zaidi ya 200,Mwanamuziki huyu alionekana kuwavutia watu wengi na Suit yake iliyokuwa imemkaa kisawasawa ambayo waingereza wanasema  "Well Tailored Suit" By Designer Sheria Ngowi .
Mapaparazi zaidi ya 200 walichukua every step and moments za Red Carpet wakati Diamond akipita
Hapa Diamond aligeuka nakukuta aliye mvuta koti ni Nelly ambaye alimwambia congratulations.
Ndani kwenye Award show Diamond na USA Manager wake  Bwana DMK wakipata Ukodaki

 Behind The Scene Diamond akiwa na Super Designer aliyedesign Suit ya Diamond -Mr Sheria Ngowi.
 Diamond akiwa na USA Tour Manager wake Bwana DMK akifanyiwa Interview kwenye Red Carpet
Singer Faith Evans ambaye ni Mke wa Marehemu BIG alipata nafasi yakupiga picha na Diamond

Camrea yetu ilimpata Platnum katika poz hili

Diamond akihijiwa na XXL magazine kwenye RED Carpet pembeni yake ni USA Manager DMK


Mtangazaji wa Fox Entertainment akimuhoji Diamond kwenye Red Carpet

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad