UCHUMI NA BIASHARA : DKT. JAKAYA KIKWETE AFUNGUA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU MKUZO, SONGEA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


18 Jul 2014

UCHUMI NA BIASHARA : DKT. JAKAYA KIKWETE AFUNGUA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU MKUZO, SONGEA


Rais Jakaya Kikwete na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mh. Saidi Mwambungu kulia , Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mh. Profesa Anna Tibaijuka (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa shirika la Nyumba NHC Bw. David Shambwe wakikata utepe kwa pamoja kama ishara ya uzinduzi wa mradi huo.
 Rais Dr. Jakaya Kikwete akipata taarifa ya mradi huo wa nyumba za gharama nafuu kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa shirika la Nyumba NHC Bw  David Shambwe
  Rais Dr. Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo 
 Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili  katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba  (NHC) na kupokelewa na Ndg. David Shambwe Kaimu Mkurungenzi Mkuu NHC na Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wakati alipokagua mradi huo uliopo katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma  akiwa katika ziara yake ya kikazi , Rais Dr. Jakaya Kikwete anaendelea na ziara mkoani  humo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mh. Profesa Anna Tibaijuka akizungumza katika hafla hiyo mchana huu
 Akiwasalimia wananchi waliofika kushuhudia

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad