UTANGAZAJI : DW YAWAAGA WATANGAZAJI ANUARY MKAMA NA AMIDA ISSA, BONN - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


16 Jul 2014

UTANGAZAJI : DW YAWAAGA WATANGAZAJI ANUARY MKAMA NA AMIDA ISSA, BONN


Anuary Mkama kutoka Radio Mlimani nchini Tanzania na mwenzake Amida Issa kutoka Burundi waagwa rasmi DW mjini Bonn baada ya kumaliza mafunzo utangazaji kwa vitendo yaliyodumu katika kipindi cha miezi sita. Wote wawili sasa wanajiandaa kurejea katika mataifa yao kwenda kutuma ujuzi waliouvuna kutoka DW Bonn.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad