WANAWAKE WANAWEZA :MKE WA MBUNGE WA CHALINZE ATOA MSAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


14 Jul 2014

WANAWAKE WANAWEZA :MKE WA MBUNGE WA CHALINZE ATOA MSAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU

1
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama zawadi ya mbunge huyo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan kwa familia zenye mahitaji muhimu kutokana na kiushi katika mazingira magumu , ambapo vifaa vya ndani pamoja na Tende zitatolewa kwa familia zipatazo 600 katika kata zote za jimbo hilo, huu ni mwendelezo wa shughuli za mbunge huyo katika kuwatumikia wapiga kura wake na kuboresha maisha yao ikiwa ni mikakati yake ya kufikia malengo aliyojipangia kwa kushirikiana na wananchi wa jimbo la Chalinze, Kulia ni Mzee Ahmad Ramadhan mmoja wa wazee wa kijiji cha Changarikwa akingoja kukabidhiwa zawadi zake .(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBWEWE-CHALINZE)
2
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya vyombo vya ndani na Tende Mzee Ahmad Ramadhan mmoja wa wazee wa kijiji cha Changarikwa wakati alipotoa zawadi hizo kwa familia zenye mahitaji muhimu katika kata ya Mbwewe jana.
3
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi zawadi hizo Bi.Halima Hassan katika kijiji cha Changarikwa jana.
4
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa kijiji cha Kwaruhombo Kata ya Mbwewe jana baada ya kuwakabidhi zawadi ya Tende,Wa pili kutoka kushoto ni rehema Zando Diwani viti maalum Bagamoyo.
6
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi aliowakabidhi zawadi hizo, baadhi ni viongozi wa kata hiyo na wilaya ya Bagamoyo.
8
Mzee Said Khamis Mnyika kushoto na Mzee Ahmad Ramadhan wa kijiji cha Changarikwa wakiwa na zawadi zao mara baada ya kupokea kutoka kwa Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete jana.
9
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akipanga vifaa mbalimbali kwenye ofisi ya CCM kata ya Mbwewe kabla ya kuvikabidhi kwa familia za watu wenye mahitaji muhimu jana.
10
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi zawadi ya vyombo vya ndani na Tende Bw. Abdulrahman Juma wa Mbwewe.
11
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi zawadi hizo Mlemavu Halia Saleh.
13
Baadhi ya akina mama wakiwa na zawadi zao mara baada ya kukabidhiwa
14
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi aliowakabidhi zawadi, wengine ni baadhi ya viongozi wa kata hiyo na wilaya ya Bagamoyo.
16
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimsikiliza mmoja wa akina mama waliopokea zawadi hizo wakati alipokuwa akitoa shukurani zake kwa Mh. Mbunge Ridhiwani Kikwete.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad