WIZARA YA UJENZI :DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKIWA ZIARANI MKOANI DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


11 Jul 2014

WIZARA YA UJENZI :DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKIWA ZIARANI MKOANI DODOMA

 Waziri wa Ujenzi Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli leo amefungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari katika mji wa Dodoma.Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng.Musa Ibrahim Iyombe Mradi huo ambao umefanywa na wakandarasi Wazawa umegarimu shilingi Milioni 384.Mataa yaliyozinduliwa leo ni yaliyopo ANJIA PANDA ya Barabara ya Nyerere na Mpwapwa na yale yaliyopo njia panda ya Barabara ya Area D na barabara  ya kuelekea Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma  Dkt.Rehema Nchimbi kulia akimkaribisha  Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli Kufungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma.
 Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akifunguwa pazia la jiwe la msini wakati wa kufungua  Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma.
 Mkuu wa Mkoa akimpongeza Waziri Magufuli
Magari yakipita katika mataa mara baada ya Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli Kufungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma katika makutano ya barabara ya Nyerere na Mpwapwa.
Vikundi vya ngoma na nyimbo kutoka JKT Makutopora vikitoa burudani wakati Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli akizindua mradi wa mataa ya kuongozea magari mjini Dodoma.(Mhe.Maguguli ambaye alipitia JKT Makutopora amewazawadia Shilingi laki tatu baada ya kuvutiwa na burudani ya vikundi hivyo.
 Vikundi vya ngoma na nyimbo kutoka JKT Makutopora vikitoa burudani wakati Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli akizindua mradi wa mataa ya kuongozea magari mjini Dodoma.(Mhe.Maguguli ambaye alipitia JKT Makutopora amewazawadia Shilingi laki tatu Baada ya kuvutiwa na burudani ya vikundi hivyo.
 Ngoma 
 Kwaya
 Baadhi ya wakazi wa Dodoma waliojitokeza kushuhudia Ufunguzi wa Mradi wa Mataa ya kuongozea magari Barabarani Mjini Dodoma.
 Baadhi ya wakazi wa Dodoma waliojitokeza kushuhudia Ufunguzi wa Mradi wa Mataa ya kuongozea magari Barabarani Mjini Dodoma.



 Baadhi ya wakazi wa Dodoma waliojitokeza kushuhudia Ufunguzi wa Mradi wa Mataa ya kuongozea magari Barabarani Mjini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli kizungumzia mrani wa mataa ya kuongozea magari pamoja na uboreshwaji wa miundo mbinu kwa Mji wa Dodoma kuelekea Changamoto za kuwa jiji.
 Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli aliye kaa katikati akiwa katika Picha ya pamoja na wakuu kamati ya Usalama ya Mkoa wa Dodoma.
 Waziri wa Ujenzi,Dkt.John Pombe Magufuli aliye kaa katikati akiwa katika Picha ya pamoja na baadhi ya askari kutoka JKT Makutopora Mhe.Magufuli naye alipitia mafunzo ya kijeshi kambi ya JKT Makutopora
 Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli aliye kaa katikati akiwa katika Picha ya pamoja na viongozi wa Chama na Serikali wa Mkoa wa Dodoma

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad