AJALI BARABARANI :ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI (TRAFIKI) AGONGWA NA GARI ENEO LA BAMAGA!! - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


18 Aug 2014

AJALI BARABARANI :ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI (TRAFIKI) AGONGWA NA GARI ENEO LA BAMAGA!!


Askari mmoja wa kikosi cha usalama barabara ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, amenusurika kufa baada ya kupata ajali akiwa anaendesha pikipiki ya polisi,ambayo ilikosa mwelekeo na kugongana uso kwa uso na gari dogo lenye namba za usajili T 681 CUX eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad