AJALI :WATU 16 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI MBAYA YA MABASI MAWILI WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Aug 2014

AJALI :WATU 16 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI MBAYA YA MABASI MAWILI WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA


Watu zaidi ya 17 wanadaiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa baada ya mabasi waliokuwa wakisafiria kugongana katika kijiji cha Mlogolo wilayani Sikonge mkoani Tabora.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad