KILIMO KWANZA :MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YAKE WILAYANI UKEREWE MKOA WA MWANZA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


11 Aug 2014

KILIMO KWANZA :MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YAKE WILAYANI UKEREWE MKOA WA MWANZA


 
Mama Shujaa wa Chakula 2014  Bahati Muriga akitoa neno la Shukurani Baada ya Kukabidhiwa zawadi yake rasmi wakati wa hafla fupi iliyofanyika Wilaya ya Ukerewe, leo.
Bahati Muriga akijaribisha kuiwasha Pikipiki yake Mara baada ya Kukabidhiwa.
Eluka Kibona (kulia) kutoka Oxfam akimkabidhi ufunguo wa Pikipiki Mshindi wa Mama shujaa wa Chakula.
 Mama Shujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga akisaini kupokea zawadi zake kutoka OXFAM kupitia Programu ya GROW, Wekeza kwa wakulima wadogo wadogo Inalipa.
Bwana Hamis Kombo mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe akitoa salamu za pongezi kwa Mama Shujaa wa Chakula 2014 pia kuwashukuru OXFAM kwa kutoa zawadi hizo.

 Bahati Muriga akifurahia zawadi zake.
 Kulwa Kizenga wa kwanza kushoto  na Eluka Kibona kutoka OXFAM  wakimkabidhi zawadi Bahati Muriga
 Mkamiti Mgawe wa kwanza kushoto kutoka OXFAM akiwa na Mama shujaa wa Chakulaa
Zawadi alizopokea Mama Shujaa wa Chakula.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad