Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya maafisa waliofika
kumpokea wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles
tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na
Africa (US-Africa Leaders summit) uliondaliwa na Rais Barack Obama wa
unaotaraji kuanza Agosti 4-hadi 6, 2014, ambao utatanguliwa na mikutano
mingine ya maendeleo ya sekta mbalimbali na uwekezaji (2-3 Agosti, 2014)
jijini Washington DC. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani,Balozi
Liberata Mulamula.
Vodacom yazindua simujanja maalumu itakayosaidia wateja wenye ulemavu
-
Balozi wa Pakistani nchini Siraj Ahmad Khan (kushoto), Mkurugenzi wa
Biashara wa Vodacom Tanzania, Linda Riwa (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu
wa kampun...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment