MBUNGE APATA AJALI : MHE. ISMAEL ADEN RAGE APATA AJALI AKIWA NJIANI KUELEKEA DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Aug 2014

MBUNGE APATA AJALI : MHE. ISMAEL ADEN RAGE APATA AJALI AKIWA NJIANI KUELEKEA DODOMA


Mbunge wa Tabora Mjini (CCM) Ismail Aden Rage, ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, akiwa amelazwa kwenye hospitali ya Rufaa, Dodoma, Jumatatu Agosti 4, 2014. Rage alipata ajali eneo la Chigongwe, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma, wakati akielekea mjini humo tayari kushiriki vikao vya Bunge Maalum vinavyoanza Jumanne Agosti 5, 2014. Mbunge wa Sikonge mkoani Tabora kupitia CCM, ambaye pia ni Mujumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Said Nkumba, alikwenda kumjulia hali Rage, hospitalini mjini Dodoma, Jumatatu Agosti 4, 2014.Picha kwa hisani ya K-vis Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad