UTALII WA NDANI : WACHEZAJI WA ZAMANI WA REAL MARDID WAPANDA MLIMA KILIMANJARO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


25 Aug 2014

UTALII WA NDANI : WACHEZAJI WA ZAMANI WA REAL MARDID WAPANDA MLIMA KILIMANJARO


 Wakongwe wa Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania wakipiga picha za kikundi cha ngoma kilichokuwa kikiwatumbuiza mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro kabla ya kuelekea Mlima Kilimanjaro.
Wachezaji wakongwe wa Klabu ya Real Madrid wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa TANAPA mara baada ya kumaliza zoezi la matembezi mafupi ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
 Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dk. Fenela Mukangara akitoa cheti cha ushiriki kwa mchezaji Ruben De La Red wa Klabu ya Real Madrid mara baada ya kumaliza zoezi la matembezi mafupi ya kupanda Mlima Kilimanjaro. 
Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete akikabidhi moja ya fulana za TANAPA kwa mchezaji.
Tafrija ya kuwaaga kabla ya kupanda mlima ikiendelea.
wakali hao wa zamani wa Real Madrid wakiwa katikati ya msitu wa Mlima Kilimanjaro.
 Eneo la Maporomoko ya Maji ambapo wachezaji wakali hao wa zamani wa Real Madrid walifanikiwa kufika Mlimani Kilimanjaro. 
 Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete (mwenye fulana nyeupe na miwani) akiongoza msafara wa wakali hao wa zamani wa Real Madrid kukwea Mlima Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad