WANAWAKE KWANZA:MAMA SALMA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MAMA GRACA MACHEL KWENYE OFISI ZA WAMA JIJINI DAR - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Aug 2014

WANAWAKE KWANZA:MAMA SALMA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MAMA GRACA MACHEL KWENYE OFISI ZA WAMA JIJINI DAR


  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Mama Graca Machel aliyemtembelea kwenye ofisi za WAMA jana.
  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mgeni wake Mama Graca Machel na wajumbe wawili wa Bodi ya WAMA. Wajumbe hao ni Mheshimiwa Sophia Simba,Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (kulia) na Mama Hulda Kibacha (wa kwanza kushoto).
 Mama Garaca Machel akiweka saini kitabu cha wageni wakati alipotembelea ofisi za WAMA.
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya WAMA akimkabidhi zawadi ya picha mgeni wake Mama Graca Machel aliyemtembelea ofisini kwake.
 Mkurugenzi wa Idara ya Afya  ya WAMA, Dkt. Sarah Maongezi (kulia) akitoa taarifa ya utendaji kazi wa idara hiyo kwa Mgeni Mama Graca Machel huku Mama Salma Kikwete na wafanyakazi wengine wakisikiliza.
Picha ya pamoja kati ya Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na wafanyakazi wa Taasissi ya WAMA na Mama Graca Machel na ujumbe wake mara baada ya kufanya mgeni huyo kutembelea ofisi hiyo. Picha na John Lukuwi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad