BUNGENI LEO :UPIGAJI KURA WA RASIMU INAYOPENDEKEZWA WAENDELEA BUNGENI MJINI DODOMA. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Sept 2014

BUNGENI LEO :UPIGAJI KURA WA RASIMU INAYOPENDEKEZWA WAENDELEA BUNGENI MJINI DODOMA.


image
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akipiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 image
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Hassan Suluhu akipiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 image
Makamu wa Pili wa Zanzibar ambaye pia Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Seif Ali Idd akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 image
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akipiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 image
Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati namba Tano ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Asha-Rose Migiro akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 image
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 image
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Juma Nkamia akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 image
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Mwalimu akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
image
Waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hawa Ghasia akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 image
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Shymar Kwegir akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad