ELIMU YETU :DKT. BILAL AZINDUA MPANGO WA UTAMBUZI WA UJUZI ULIOPATIKANA NJE YA MFUMO RASMI WA MAFUNZO, JIJINI DAR - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Sept 2014

ELIMU YETU :DKT. BILAL AZINDUA MPANGO WA UTAMBUZI WA UJUZI ULIOPATIKANA NJE YA MFUMO RASMI WA MAFUNZO, JIJINI DAR


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kama ishala ya kuzindua rasmi mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza fani mbalimbali, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Kazi, na Ajira, Gaudensia Kabaka (kushoto) ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa kuzindua rasmi mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza fani mbalimbali, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wahitimu wa Mafunzo hayo kutoka Chuo cha VETA, wakisubiri kutunikiwa vyeti na mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo. Hafla hiyo ilifanyika Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
 Baadhi washiriki katika hafla hiyo ya uzinduzi wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
 Baadhi washiriki katika hafla hiyo ya uzinduzi wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, mmoja kati ya wahitimu 30, wa mafunzo hayo, Mwajuma Massoud, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza fani mbalimbali  Hafla hiyo ilifanyika Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, mmoja kati ya wahitimu 30, wa mafunzo hayo, Charles Gwambassa, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza fani mbalimbali. Hafla hiyo ilifanyika Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad