JAMII ZETU: MKUTANO WA 24 WA MWAKA WA WANACHAMA NA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAANZA ,JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Sept 2014

JAMII ZETU: MKUTANO WA 24 WA MWAKA WA WANACHAMA NA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAANZA ,JIJINI ARUSHA


Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akitoa hotuba yake wakati akifungua mkutano huo unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo Septemba 10 mpaka Septemba 12,2014.Katika hotuba yake hiyo,Mh. Nchemba wameutaka Mfuko wa PPF kuhakikisha wanapanua wigo kwa kuongeza wanachama wengi kutoka kwenye setka binafsi hasa wananchi wa kipato cha chini ikiwemo wajasiriamali.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad