JESHI LA POLISI :IGP MANGU AFUNGUA JENGO LA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO MKOA WA KILIMANJARO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Sept 2014

JESHI LA POLISI :IGP MANGU AFUNGUA JENGO LA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO MKOA WA KILIMANJARO


Jengo la Dawati na Jinsia na Watoto lilojengwa katika kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,Inspekta Jenerali wa Polisi ,Ernest Mangu akizungumza wakati wa uzinduzi wa jengo la dawati la Jinsia katka kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi.
Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Koka Moita akizungumza kabla ya kumkaribisha ,IGP ,Mangu kuzindua dawati la jinsia.
Mkuu wa Dawati la Jinsia mkoa wa Kilimanjaro,Grace Lyimo akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo hilo.
IGP,Mangu akikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa dawati la jinsia katika kituo kikuu cha Polisi Moshi.
IGP ,Mangu akizindua jengo hilo kwa kufungua kitambaa akuonesha kibao chenye kumbukumbu ya ufunguzi wa jengo hilo. Na Dixon Busagaga

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad