MATUKIO :BALOZI KAMALA SANTANA NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA DELANOUT YA UBELGIJI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Sept 2014

MATUKIO :BALOZI KAMALA SANTANA NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA DELANOUT YA UBELGIJI


Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akimkabidhi zawadi ya mwamvuli unaotangaza vivutio vya Utalii Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya DELANOUT ya Ubelgiji Bwana. Jackson Delanout. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kuhamasisha makampuni ya Ubelgiji kushiriki kwenye ziara ya biashara ya makampuni ya Ubelgiji itakayofanyika Tanzania, Novemba mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad