Msanii
wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu
akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Alipokuwa
akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo
amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa
Kizazi Kipya Linah Sanga.
SERIKALI YAIPONGEA SUA KWA KUJA NA MBUNI ZA KULINDA UKANDA WA MAGHARIBI MWA
BAHARI YA HINDI.
-
Na: Calvin Gwabara – Mbeya.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera kwa niaba ya Serikali ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepongeza kazi nzuri ya Utafit...
35 minutes ago
No comments:
Post a Comment