ONYO KALI : JESHI LA WANANCHI TANZANIA LIMETOA ONYO KWA WANAOVAA SARE ZA KIJESHI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Oct 2014

ONYO KALI : JESHI LA WANANCHI TANZANIA LIMETOA ONYO KWA WANAOVAA SARE ZA KIJESHI

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,
Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 20 Octoba, 2014
Tele Fax : 2153426
Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti : www.tpdf.mil.tz

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kwa wananchi wote kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za JWTZ kwa mtu yeyote asiyehusika.
Aidha, kumeonekana matukio kadhaa ya baadhi ya vikundi, ama mtu mmoja mmoja kumiliki au kuvaa sare za JWTZ. Inakumbushwa kuwa kwa yeyote atakayeonekana amevaa ama kumiliki sare hizo sheria itachukua mkondo wake.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam.

 Majina yote mpe yeye,mara Dangote,mara Chibu afu jazia na diamond Platnum akiwa kazini na skwadi lake zima la kazi.
 Palikuwa hapatoshi na hayo magamba

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad