Elimu Yetu : Mhe. James Mbatia Achangisha Pesa Kunusuru Elimu Jimbo la Vunjo, Kilimanjaro. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Nov 2014

Elimu Yetu : Mhe. James Mbatia Achangisha Pesa Kunusuru Elimu Jimbo la Vunjo, Kilimanjaro.

Mbunge wa kuteuliwa akizungumza wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa Bweni ;a wavulana katika shule ya sekondari Bishop Moshi.
Mbunge Mbatia akichangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Bweni.
Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule hiyo walichangia mifuko mitatu ya Sementi ambayo walikabidhi kwa mgeni rasmi Mbunge Mbatia.
Wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao wakipewa zawadi wakati wa hafla hiyo ya harambee ya kuchangia ujenzi wa Bweni.
Mbunge Mbatia akitangaza kiasi cha mchango wake katika ujenzi wa Bweni ambapo alitangaza kutoa kiasi cha shilingi milioni 10 ,pembeni yake ni mkuu wa shule hiyo Sophia Mushi akifurahi .


Na Dixon Busagaga

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad