Elimu Zetu : Dk. Gharib Bilal Atunuku Vyeti na Shahada Wahitimu wa Chuo Kikuu cha ESAMI Jijini, Arusha - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Nov 2014

Elimu Zetu : Dk. Gharib Bilal Atunuku Vyeti na Shahada Wahitimu wa Chuo Kikuu cha ESAMI Jijini, Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Taasisi ya ESAMI iliyopo Njiro Hill Mkoani Arusha alipowasili kwenye Taasisi hiyo Novemba 22,2014 kuhudhuria Mahafali ya nane ya Taasisi hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa pili kulia na Viongozi wa Taasisi ya ESAMI iliyopo Njiro Hill Mkoani Arusha akiongoza maandamano ya mahafali ya nane ya Taasisi hiyo yaliyofanyika Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti Witness Steven mhitimu wa Shahada ya MBA katika Taasisi ya ESAMI Kampas ya Dar es salaam kwenye mahafali ya nane ya Taasisi hiyo iliyofanyika Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti Leah Mumbua mhitimu wa Shahada ya MBA katika Taasisi ya ESAMI Kampas ya Nairobi kwenye mahafali ya nane ya Taasisi hiyo iliyofanyika Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wahitimu wa fani mbalimbali kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akipokea zawadi kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha pamoja na Viongozi na Wahitimu wa Fani mbalimbali kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad