Maisha na Dini : Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda Ahudhuria Sherehe za Kumweka Wakfu Askofu wa Anglican Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


27 Nov 2014

Maisha na Dini : Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda Ahudhuria Sherehe za Kumweka Wakfu Askofu wa Anglican Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Maaskofu wa kanisa la Anglican nchini bada ya kuwasili kwnye Kanisa lao Kuu mjini  Dodoma kuhudhuria ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani Novemba 23, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha Askofu  wa Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani katika ibada ya kumweka wakfu  Askofu huyo iliyofanyika kwenye kanisa kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014.
Baadhi ya washiriki wa  Ibada ya  kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani  wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye ibada hiyo iliyofanyika kwenye kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma  Novemba 23, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na washiriki wa ibada ya kumweka wakfu, Askofu wa Da yosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani   kwenye  kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma  Novemba 23, 2014.Picha zote na Doreen Aloyce wa Blogu ya Wazalendo 25 Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad