Matukio : Dkt. Jakaya Kikwete Azungumza na Wazee wa Mkoa wa Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Nov 2014

Matukio : Dkt. Jakaya Kikwete Azungumza na Wazee wa Mkoa wa Dodoma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma  tayari kwa mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma.
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma tayari kwa mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma waliouitisha ili kuzungumza na Rais Kikwete maswala kadhaa ya maendeleo.
Wimbo wa Taifa.
Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Sehemu ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwete mjini Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na wazee wa mji wa Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad