Matukio : Taswira Mbali mbali ya Mazishi ya Amigolas Katika Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


11 Nov 2014

Matukio : Taswira Mbali mbali ya Mazishi ya Amigolas Katika Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar


Mwili wa marehemu, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ ukiwasili nyumbani kwao Mburahati jijini Dar es Salaam.
Mjane wa marehemu, Bi Modesta Emmanuel akiwa amezimia msibani.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere 'Steve Nyerere' akiwasili msibani.
Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka akiwa msibani.
Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakilia msibani.
Mwili wa marehemu, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ ukibebwa na waombolezaji kuelekea katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Filamu nchini, Jacob Steven 'JB' (wa pili kutoka kulia) akielekea makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wengine wakijiandaa kuelekea katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Viongozi wa dini ya Kiislam wakiomba dua mara baada ya kuzika marehemu Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ kwenye makaburi ya Kisutu Jijini Dar.
Hili ndilo kaburi alimozikwa Marehemu Khamis Kayumbu ‘Amigolas’.
(PICHA: RICHARD BUKOS NA DENIS MTIMA/GPL)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad