Michezo ni Afya :Dkt. Ali Mohamed Shein ahudhuria Sherehe za Ushindi kwa KMKM Misimu Miwili ,Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


3 Nov 2014

Michezo ni Afya :Dkt. Ali Mohamed Shein ahudhuria Sherehe za Ushindi kwa KMKM Misimu Miwili ,Zanzibar

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisaliniana na Mkuu wa KMKM KomodoreHaasan Mussa alipowasili katika sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali mbali zilizofanyika viwanja vya KMKM.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maaalum za SMZ Haji Omar Kheri katika sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali mbali zilizofanyika viwanja vya KMKM
 Mshindi wa kwanza wa mbio za kilomita 10 Philip Jacob Mambo wa Mafunzo akifika mfundani kutoka Kibweni KMKM hadi viwanja vya Maisra Mjini Zanzibar palipofanyika   sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali  mbali  kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015
 Mshindi wa kwanza wa mbio za makundi maalum ya watu wenye Ulemavu Ali Abdalla kilomita 5 akifika mfundani kutoka Mtoni Mkapa Road hadi  viwanja vya Maisra Mjini Zanzibar palipofanyika   sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali  mbali  kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015
 Kamanda Haidari akiwa kama kocha kwa Timu yake ya Makamanda waliostaafu wa KMKM katika sherehe za  sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali  mbali  kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015,zilizofanikisha kwa mchezo wa kuvuta Kamba na hatimaye timu hii ya wastaafu iliwashinda Maofisa walio kazini kwa kuwatoa katika raund zote mbili leo viwanja vya Maisara
 Kundi la Watu wenye ulemavu wakiwa katika viwanja vya maisara katika kusherehekea Sherehe za KMKM kwa kushinda timu zake  misimu miwili  mfulizo michezo mbali  mbali  kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015,wakifuatilia kwa makini mwendelezo mzima wa sherehe hizo wakati mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Mkuu wa KMKM Komodore Hassan Mussa akizungumza machache na kumkaaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein azungumze na wapiganaji katika sherehe za ushindi wa timu zake katika michezo mbali mbali kwa misimu miwili zilizofanyika viwanja vya maisara Mjini Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wapiganaji wa jeshi la KMKM katika sherehe za ushindi wa timu zake katika michezo mbali mbali kwa misimu miwili zilizofanyika leo viwanja vya maisara Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maaalum za SMZ Haji Omar Kheri.  Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad