Michezo Yetu : Timu ya Simba Hatimae Yaifunga Ruvu Shooting 1 -0 - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Nov 2014

Michezo Yetu : Timu ya Simba Hatimae Yaifunga Ruvu Shooting 1 -0

 Mfungaji wa bao pekee la Simba dhidi ya Ruvu Shooting, Emmanuel Okwi akishangilia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia baada ya Okwi kuifungia timu yake bao pekee.
 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting.
Mchezaji wa Ruvu Shooting, Abdulrahman Musa (kulia) akiwania mpira na Elius Maguli wa Simba.
 Kocha wa Simba, Patrick Phiri akikumbatiana na Okwi baada ya mchezo na tmu yake kupata ushindi wa kwanza tangu kuanza kwa Ligi.
Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Ruvu Shooting 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Okwi akiwa na furaha baada ya kuifungia timu yake bao pekee.
Mashabiki wa Simba wakiwa na furahi. Picha na Francis Dande

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad