Msiba : Tangazo la Msiba wa Ndugu Robert Victor Lengeju - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


11 Nov 2014

Msiba : Tangazo la Msiba wa Ndugu Robert Victor Lengeju



Familia ya Lengeju wa Kipera Mkoani Morogoro wanasikitika kutanga kifo cha mdogo wao ROBERT VICTOR LENGEJU kilichotokea mchana wa leo katika Hospitali ya TMJ Dar es Salaam.

Mipango ya mazishi inafanyika Nyumbani kwa kaka yake Charles Lengeju, Njia panda Airport jijini Dar es Salaam.



Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Lengeju na wakazi wa Kipera mkoani Morogoro. Na Father Kidevu Blog

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad