Uchumi na Biashara ; Dk. Gharib Bilal Afungua Mkutano wa Kitaifa wa Taasisi za Fedha Jijini, Arusha. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Nov 2014

Uchumi na Biashara ; Dk. Gharib Bilal Afungua Mkutano wa Kitaifa wa Taasisi za Fedha Jijini, Arusha.


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji sekta ya kilimo hasa kwa wakulima wadogo wadogo, mkutano huo ulifanyika Novemba 23-2014 katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha.
 Washiriki wa mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji wa Sekta ya kilimo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokuwa akifungua mkutano huo Novemba 23-2014 katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katika Picha ya Pamoja na  Washiriki wa mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji wa Sekta ya kilimo.
Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mzee Edwin Mtei katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha.Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad