Wanawake na Ujasiriamali: Wanawake wa India Watembelea Vikundi vya Wanawake Wajasiriamali Mkuranga - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


17 Nov 2014

Wanawake na Ujasiriamali: Wanawake wa India Watembelea Vikundi vya Wanawake Wajasiriamali Mkuranga

Mwakilishi wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), Labhu Thakkar akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kuranga wakati walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo wilayani hapo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila na mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni mke wa mbunge wa Mkuranga, Naima Malima.
 Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila akizungumza na  Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani, pamoja na kutembelea Zahanati ya kijiji cha Msufini Kidete. Kushoto ni mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni mke wa mbunge wa Mkuranga, Naima Malima.
 Mkutano ukiendelea kabla ya wageni kutoka Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) kutembelea Zahanati ya Kijiji cha Msufini Kidete iliyopo Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Wachama wa Ushirika Sewa wakiwa katika mkutano na uongozi wa Kijiji cha Msufini Kidete Mkuranga Mkoa wa Pwani.
 Mtendaji wa Kijiji cha Msufini Kidete, Seleman Kayombo akitoa taarifa fupi za utendaji wa kijiji hicho kwa wageni waliofika kutoka Ushirika wa Wanawake waliojiajiri wenyewe kutoka India (SEWA) walipotembelea Zahanati ya Kijiji hicho.
 Mkurugenzi wa Mradi wa Sankalit Sewa, Shree Kant Kumar akizungumza wanakijiji wa Msufini Kidete wakati Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) walipotembelea miradi ya maendeleo ikiwemo afya.Kwa Picha Zaidi Bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad