Maisha na Elimu :Mkutano Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la CAMFED TANZANIA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Dec 2014

Maisha na Elimu :Mkutano Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la CAMFED TANZANIA

Mgeni rasmi Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma, Juma Kaponda akizungumza mjini Dodoma katika Mkutano mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la CAMFED TANZANIA ambalo linahusiana na kuwafadhili Watoto wa Kike wa Shule za Sekondari na Vyuo Vikuu hapa Nchini wenye mazingira magumu.
Mgeni rasmi Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma, Juma Kaponda akikaribishwa katika Mkutano mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la CAMFED TANZANIA ambalo linahusiana na kuwafadhili Watoto wa Kike wa Shule za Sekondari na Vyuo Vikuu hapa Nchini wenye mazingira magumu.
Mkurugenzi kutoka Wizara ya Elimu, akiongea katika Mkutano mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la CAMFED TANZANIA ambalo linahusiana na kuwafadhili Watoto wa Kike wa Shule za Sekondari na Vyuo Vikuu hapa Nchini wenye mazingira magumu.
Mgeni rasmi akiwa na Wafanyakazi pamoja na Wanafunzi wanaofadhiliwa na Camfed Tanzania.
Wanafunzi wa Sekondari wanaosomoshwa na shirika la Camfed Tanzania.
Wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosomeshwa na shirika la Camfed Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad