Matukio : Msiba wa Mama Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

14 Dec 2014

Matukio : Msiba wa Mama Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Jijini Dar

Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake

 Baadhi ya waombolezaji wakitoa pole kwa ndugu na jamaa katika msiba wa  marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu, ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Global Publishers Ltd (kushoto), wakitoa pole kwa familia ya wafiwa. 

 Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya wafiwa wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad