Matukio : Prof. Anna Tibaijuka - Siwezi Kujiuzulu Kwa Ajili ya Fedha za Tegeta Escrow - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


18 Dec 2014

Matukio : Prof. Anna Tibaijuka - Siwezi Kujiuzulu Kwa Ajili ya Fedha za Tegeta Escrow


WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi,Profesa Anna Tibajuka amesema kuwa hawezi kujiuzulu katika nafasi ya uwaziri kutokana fedha ya Tegeta ESCROW.Akizungumza na Waandishi na Habari mapema leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Hoteli ya Hayyat Regency,Anna alisema kuwa udalali wake fedha hiyo ni kwa ajili ya wanafunzi katika shule za Taasisi ya Johansson Girls Education Trust. Kwa Maelezo zaidi Bofya Hapa >>>

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad