Muziki na Maisha : High Class Look na Mkubwa na Wanawe Yatoa Msaada kwa kituo cha Watoto Yatima temeke - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

21 Dec 2014

Muziki na Maisha : High Class Look na Mkubwa na Wanawe Yatoa Msaada kwa kituo cha Watoto Yatima temeke

 Mkubwa Fela na wanawe wakitoa misaada kwa watoto yatima kituo cha Temeke jijini Dar es salaam leo kama moja ya shughuli za kusherehekea kutimia kwa mwaka mmoja toka Yamoto Band izaliwe
 Mkuu wa kituo akikabidhiwa sehemu ya misaada hiyo na Mkubwa Fela
  Mkubwa Feka na wanawe wakipozi na watoto yatima kituo cha Temeke jijini Dar es salaam leo baada ya kuwakabidhi misaada ikiwa kama moja ya shughuli za kusherehekea kutimia kwa mwaka mmoja toka Yamoto Band izaliwe
 Misaada
 Mkubwa Feka akiweka sawa sehemu ya misaada hiyo
 Msaada zaidi
 Mkubwa Feka na wanawe wakipozi na watoto yatima kituo cha Temeke jijini Dar es salaam leo baada ya kuwakabidhi misaada ikiwa kama moja ya shughuli za kusherehekea kutimia kwa mwaka mmoja toka Yamoto Band izaliwe
 Mkubwa Feka na wanawe wakipozi na watoto yatima kituo cha Temeke jijini Dar es salaam leo
 Mkubwa Feka na wanawe wakipozi na watoto yatima kituo cha Temeke jijini Dar es salaam leo baada ya kuwakabidhi misaada ikiwa kama moja ya shughuli za kusherehekea kutimia kwa mwaka mmoja toka Yamoto Band izaliwe
 Mkubwa Feka na wanawe wakipozi na mkuu wa  kituo cha yatima Temeke jijini Dar es salaam leo baada ya kuwakabidhi misaada ikiwa kama moja ya shughuli za kusherehekea kutimia kwa mwaka mmoja toka Yamoto Band izaliwe
 Mkubwa Fela na wanawe wakipokea shukurani kutoka kwa mkuu wa kituo
 Mkuu wa kituo akimshukuru Mkubwa Fela na wanae
 Mkuu wa kituo akiwashukuru Yamoto Band
 Vijana wa Yatima Band wakitoa burudani kwa watoto yatima wa Temeke

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad