Kilimo Kwanza : Dk. Gharib Bilal Afungua Mkutano wa Biashara ya Kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Jan 2015

Kilimo Kwanza : Dk. Gharib Bilal Afungua Mkutano wa Biashara ya Kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam Januari 28, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa FMD yenye makamo yake Nchini Kenya Bw. Fergus Robley wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam  Januari 28, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa SUGECO CHAIR Dkt. Anna Temu alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam Januari 28, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa afisa muendeshaji Mkuu wa kampuni ya FARMEQUIP Rattan Singh alipotembelea maonesho ya Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam Januari 28, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa makampuni ya Biashara ya nyenzo za kilimo, wakati wa mkutano wa Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam Januari 28, 2015. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad