Elimu na Afya :Wanafunzi wa shule za Msingi wilaya ya Mkuranga na Kibaha Kupata Huduma za Macho Bure. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Feb 2015

Elimu na Afya :Wanafunzi wa shule za Msingi wilaya ya Mkuranga na Kibaha Kupata Huduma za Macho Bure.


Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo akisisitiza jambo wakati alipofika katika hospitali ya Wilaya ya Mkuranga kukabidhi msaada wa vifa vya macho kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.Kulia ni Mganga mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi,Kaimu Mkurugenzi wa Mkuranga Mbenjamin Majoya na Mratibu wa Taifa wa Huduma ya Macho Dkt.Nkundwe Mwakyusa.
Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo (Pwani.kushoto)akimkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya kupimia macho Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Mbenjamin Majoya kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.hafa hiyo ilifanyika hivi wilayani.
Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Mbenjamin Majoya (kushoto)akikabidhiwa msaada wa vifaa vya macho na Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya wilaya ya mkuranga mkoa wa Pwani, wanao shuhudia ni Mganga Mkuu wa wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi, Mratibu mradi Rebecca Kasika na Mratibu wa Taifa wa Huduma ya Macho Dkt.Nkundwe Mwakyusa(wapili kutoka kushoto)
Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo (kushoto)akimuonyehsa mashine ya kutengenezea miwani baada ya kukmkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya kupimia macho vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4 Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Mbenjamin Majoya kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga ambao watanufaika na huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya Wilaya hiyo.kulia ni Mratibu huduma za macho mkuranga dkt.Gilbert Mrema.
Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Kaimu Mbenjamin Majoya (kulia) Mganga Mkuu wa Wilaya ya hiyo Dkt,Francis Mwanisi akionyeshwa mashine ya kupimia macho mara baada ya kuwakabidhi vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga ambao watanufaika na huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya Wilaya hiyo.Wapilia kutoka kushoto ni kulia ni Mratibu wa taifa wa huduma za macho Dkt.Nkundwa Mwakyusa na mratibu wa mradi huo kwa watoto wa shule Rebecca Kasika.
Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo (kushoto) akijaribu kumpima miwani matroni wa Hospitali ya Mkuranga Rosemary Magombola wakati wa hafla ya kumkabidhi wa msaada wa vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4 kwa ajili ya kuwahudumia wanafunzi wa shule za msingi 122 za mkuranga ambao watanufaika na huduma hiyo ya upimaji macho pamoja na matibabu bure. Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Kaimu Mbenjamin Majoya (kulia) Mganga Mkuu wa Wilaya ya hiyo Dkt,Francis Mwanisi.
Matroni wa haospitali ya wiraya ya Mkuranga Mkuranga Rosemary Magombola akisoma moja ya maneno kwenye kibao maarumucha kupimia macho mara baada ya kukabidhiwa msaada huona taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden kwa ajili ya wanafunzi wa shuleza msingi 122 .Kulia ni Mratibu wa taifa wa huduma za macho Dkt.Nkundwa Mwakyusa (kushoto) Mratibu wa mradi huo kwa watoto wa shule za msingi toka taasisis ya ya Brien Holden Vision Institute Eden ,Rebecca Kasika.
Afisa maendeleo ya jamii ya mji wa kibaha mkoa wa pwani akikabidhiwa na Mashine ya kupimia macho na Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo (kushoto) wakati wa hafla ya kukabidhi wa msaada wa vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4 kwa ajili ya kuwahudumia wanafunzi wa Wilaya hiyo ya Kibaha ambao watanufaika na huduma hiyo ya upimaji macho pamoja na matibabu bure.
Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo (kushoto) akisisitiza jambo kuhusiana na utunzaji wa vifaa vya kupimia macho mara baada ya kuwakabidhi msaada wa vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4 kwa ajili ya kuwahudumia wanafunzi wa shule za msingi za Kibaha mkoani Pwani ambao watanufaika na huduma hiyo ya upimaji macho pamoja na kupatiwa matibabu bure.
Wafanyakazi wa hospitali ya Kibaha kitengo cha macho wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa ya Brien Holden Vision Institute Eden,mara baada ya kukabidhiwa msaada wa vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4.
Wafanyakazi wa Hospitali ya Mkuranga wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden, mara baada ya kukabidhiwa msaada wavifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi ambao watanufaika na mradi huo bure.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad