Elimu Yetu :Rais Jakaya Kikwete Apokea Msaada wa Vitabu vya Sayansi kwa Shule za Sekondari Vilivyotolewa na Watu wa Marekani - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Feb 2015

Elimu Yetu :Rais Jakaya Kikwete Apokea Msaada wa Vitabu vya Sayansi kwa Shule za Sekondari Vilivyotolewa na Watu wa Marekani

 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akipokea baadhi ya vitbu vya sayansi toka kwa  Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Vitabu hivyo ambavyo vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress akigawa vitabu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia
vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress katika picha na baadhi ya  wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam baada ya kuwagawia vitbu vya sayansi. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 Mwanafunzi wa Kidatu cha pili D, Khairat Nassor, akitoa ushuhuda wa jinsi wanafunzi walivyokuwa na nafuu baada ya kupatikana vitabu vya sayansi katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es
salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam leo tayari kwa kukagua ujenzi wa maabara na pia kupokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani. Wa kwanza kulia ni Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, na viongozi wengine wakiangalia jinsi somonla sayansi likifundishwa katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,na viongozi wengine wakisalimia wanafunzi katika   darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, wakiongea na mkandarasi wa maabara ya  Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia alipokea na
kugawa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete  na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam wakiwa na vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani
 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam wakiimba kwa furaha katika sherehe ya kukabidhiwa vita
 
 Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani. Picha na IKULU


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad