Matukio :Rais Dk. Jakaya Kikwete Aweka Shada la Maua katika Makaburi ya Marais Lusaka - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Feb 2015

Matukio :Rais Dk. Jakaya Kikwete Aweka Shada la Maua katika Makaburi ya Marais Lusaka


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata aliyefariki mwaka jana katika eneo la maziko ya viongozi wa kitaifa jijini Lusaka Zambia Jana.Rais Kikwete alitumia wasaa huo pia kuweka shada la maua katika marais wa Zambia waliofariki Marehemu Frederick Chiluba na Levy Mwanawasa. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad