Bungeni : Ratiba ya Mkutano wa Bunge la Bajeti, kwa mwaka wa Fedha 2015/ 2016 Tarehe 12 mei, 2015 Hadi 27 Juni, 2015 - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


10 May 2015

Bungeni : Ratiba ya Mkutano wa Bunge la Bajeti, kwa mwaka wa Fedha 2015/ 2016 Tarehe 12 mei, 2015 Hadi 27 Juni, 2015

NA.
TAREHE NA SIKU
SHUGHULI HUSIKA NA WIZARA
1.
JUMAMOSI
na
JUMAPILI
09/05/2015 -10/05/2015
Wabunge kuelekea Dodoma kutoka Dar es Salaam na sehemu mbalimbali.
2.
JUMATATU
11/05/2015
Saa 4.00 Asubuhi
Saa 10.00 Jioni
·      Kikao cha Pamoja cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti (Ukumbi wa Pius Msekwa)
·      Kikao cha Briefing kwa Wabunge wote
(Ukumbi wa Pius Msekwa)
3.
JUMANNE - JUMAMOSI
12/5/2015 - 16/5/2015
Mkutano wa Bunge kuanza kwa shughuli zifuatazo.
(i)          Maswali ;
HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU: (Siku 5)
·         SERA, URATIBU NA BUNGE.
·         UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI.
·         TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
4.
JUMATATU
18/5/2015
  • Maswali
HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA RAIS:
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
  • UTAWALA BORA
  • MAHUSIANO NA URATIBU
5.
JUMANNE
19/5/2015
  • Maswali
HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA).
6.
JUMATANO
20/5/2015
  • Maswali
  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA
7.
ALHAMISI
21/5/2015
  • Maswali
  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KATIBA NA SHERIA
8.
IJUMAA
22/5/2015
·      Maswali
·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
9.
JUMAMOSI
23/5/2015
  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
10.
JUMATATU
25/5/2015
·      Maswali
·   HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO
·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA KAZI NA AJIRA.
11.
JUMANNE
26/5/2015
  • Maswali
·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
12.
JUMATANO
27/5/2015
·      Maswali
·     HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI
13.
ALHAMISI
28/5/2015
·     Maswali
  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.
·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
14.
IJUMAA
29/5/2015
·      Maswali
·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI.
·     HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA.
15.
JUMAMOSI
30/5/2015
·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UCHUKUZI
16.
JUMATATU
 01/6/2015
  • Maswali
  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
17.
JUMANNE
02/6/2015
·      Maswali
·      HOTUBA YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
18.
JUMATANO
03/6/2015
·     Maswali
  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI.
19.
ALHAMISI
04/6/2015
·     Maswali
·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
20.
IJUMAA
05/6/2015
·      Maswali.
·      HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.
21
JUMAMOSI
06/06/2015
  • HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA
22.
          JUMATATU  - JUMATANO
08/6/2015 – 10/6/2015
  • Maswali;
Serikali  kushauriana na Kamati ya Bajeti Kufanya Majumuisho kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa kujadili Bajeti za Wizara;(Siku 3)
23.
ALHAMISI
11/6/2015
·            Maswali
(i)            Waziri anayehusika na Mipango Kusoma Taarifa ya Hali ya Uchumi.
(ii)          Waziri wa Fedha Kusoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali.
24.
IJUMAA
12/6/2015
Wajumbe Kusoma na kutafakari Hotuba ya Bajeti.
25.
JUMATATU - JUMANNE
15/6/2015 - 23/6/2015
·         Maswali
·         MJADALA KUHUSU BAJETI  YA SERIKALI
(Siku 7)
26.
JUMATANO
24/6/2015
·      Maswali
·      Muswada wa Sheria ya Fedha za Matumizi (The Appropriation Bill, 2015)
·      Muswada wa Sheria ya Fedha (The Finance Bill, 2015)
27.
ALHAMISI - IJUMAA
25/6 – 26/6/2015
·      Maswali
·      Muswada wa Sheria ya Fedha (The Finance Bill, 2015)
28.
JUMAMOSI
27/6/2015
             KUFUNGA BUNGE

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad