Matukio /Mazishi : Lowassa Aongoza Mamia Kuuaga Mwili wa Alphonce Mawazo,Jijini Mwanza - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


29 Nov 2015

Matukio /Mazishi : Lowassa Aongoza Mamia Kuuaga Mwili wa Alphonce Mawazo,Jijini Mwanza


Aliyekua mgombea Urais Tiketi ya UKAWA Mhe. Edward Lowassa akipita mbele ya jeneza la Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo.

Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akipita mbele ya jeneza la Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo.

Mke wa Marehemu Alphonse Mawazo na mtoto wake Precious Mawazo wakimsikiliza Mchungaji aliyekuwa akiendesha misa ya kumuombea marehemu Alphonse Mawazo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad